Saturday, June 9, 2012

WASHINDI TUZO ZA KILI WAKAMUA VIWANJA VYA POSTA DAR



Ally Kiba (katikati) akifanya vitu na wanenguaji wake.

 Ommy Dimpoz akipagawisha.

Diamond akikamua.

Diamond akiinuliwa hewani na wanenguaji wake.

Mzee Abdul Sykes ambaye ni baba wa Dully Sykes akimfunga kitambaa mkali wa Hip Hop, Roma, kumpongeza ukomavu wake katika tasnia hiyo.

 Isha Mashauzi akikamua.

Khadija Kopa akiwa na wanenguaji wake.

Mashabiki wakila uhondo wa shoo.

Queen Darlin akifanya vitu.

AT (katikati) akikamua na wanenguaji wake.

Mashabiki wakiwa wamepandisha mzuka.
Wanamuziki mbalimbali waliopata Tuzo za Muziki za Kil za mwaka 2011 usiku wa kuamkia leo walifanya makamuzi makubwa ya kwenye Viwanja vya Posta jijini Dar es Salaam kama wanavyoonekana katika baadhi ya matukio hapo juu.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...