Sunday, June 17, 2012

HIVI NDIVYO LADY JAYDEE ALIVYOSHEREKEA ‘BETHDEI’ YAKE



Jide akiwa anatoa burudani kwa mashabiki wake.

Malkia wa muziki wa Taarab, Khadija Kopa akiserebuka katika hafla hiyo.


Mwanamuziki wa kizazi kipya, Elias Barnaba akitoa burudani.


Jide akiwa ameshikilia keki.


...... akiwa anaikatakata.


...Akimlisha Barnaba kwa niaba ya mumewe Gadner.


....Akiwa na mumewe Gardner ambaye alitoka  kwenye ishu ya Miss Dar City Center.
Jana ilikuwa ni siku ya furaha kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ ambapo alisherekea siku yake ya kuzaliwa katika kiwanja chake cha Nyumbani Loudge, hafla iliyohudhuriwa  na watu kibao wakiwemo wasanii wa filamu na muziki.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...