Wednesday, June 27, 2012

Family day at Giraffe View Hotel with Wema Sepetu and Omotola


Omotola & Wema Sepetu wakiingia ndani ya Hotel ya Giraffe 

 Hapa Wema alikuwa akimwambia kwa kithungu kile ambacho MC alichokuwa akikizungumza

Ben Kinyaiya, Omotola & Wema Sepetu, hapa alikuwa Omotola akizungumza na watanzania waliofika katika Hotel ya Giraffe

Babuu wa kitaa aka Babu Bomba akiwakaribisha mabibi Bomba kwa steji wapite kama Mamiss

 Mtoto huyu alikuja mbele na kuchukua picha za kumbukumbu katika iPad yake

 Baada ya hapo huyoooo akajikata zake, hana habari na mtu hahaa

 Marafiki zangu Jasmin & Zamda

 Hawa dada zangu bwana walikuwa na furaha sana walivyoniona wakasema jamani na sisi tunaomba tujiachie kwenye camera

 Chezea Vuvu wewe


 Ma boy Tiny Dad, Abou, Ben Kinyaiya & Radhy

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...