Thursday, June 21, 2012

MKULIMA AWATEMBEZA BATA 5,000 MTAANI KILOMITA 1.5 MJINI TAIZHOU CHINA



Watumia barabara wakilazimika kutoa nafasi kwa bata hao kupita.
MKULIMA mmoja alisababisha msongamano katika mtaa mmoja mjini Taizhou, China, alipowatembeza bata wake 5,000 kwa kilomita 1.5 kutoka shambani kwake akiwatafutia chakula.
Mkulima huyo, Hong, aliyekuwa na fimbo moja ndefu na wasaidizi wachache, aliweza kuimaliza safari hiyo bila kupoteza hata bata mmoja.  
 (CHANZO: METRO.CO.UK)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...