Saturday, June 9, 2012

BREAKING: HAWA NDIO WASHIRIKI WENGINE WAWILI WALIOTOLEWA BIG BROTHER.



Zainab na Dkb.
Ugomvi uliopelekea washiriki wawili wa big brother kuleteana fujo umewafanya washiriki hao kutolewa kwenye jumba hilo.
Zainab (Sierra Leone) na Dkb (Ghana) walianza kuzozana toka mchana ambapo huo mzozo ulizua ugomvi, kitu ambacho hakiruhusiwi kabisa Big Brother… washiriki wake wanaruhusiwa kugombana lakini sio kupigana, kwa kosa hilo la kugombana mpaka kugusana imebidi watolewe moja kwa moja.
Kwenye kesi kama hii BBA wameripoti kwamba washiriki hao hawawezi kurudishwa tena kwenye nyumba na kuna uwezekano nafasi zao zikachukuliwa na washiriki wengine waliotolewa BBA, wanaweza kuitwa…. tusubirie.
Hiyo hapo chini ndio video ya ugomvi wao..

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...