Sunday, June 24, 2012

WAMAMA WA KITAA ‘WAFANZA’ MAMBO



Kinamama wakionesha umahiri wa kukata nyonga.

Mama mjauzito akiserebuka kwa upole kabla ya kupandwa na mzuka.

Mama mjamzito baada ya kupandwa na mizuka akimkatikia nyonga mama mwenye shughuli.
Wamama wa maeneo ya Kigogo Luhanga ‘kitaa’ na mashosti zao, jana walifanya kufuru ya kubanjuka kihasara wakati wakimtunza mwenzao aliyefahamika kwa jina la Zamda Luhavi katika kile kinachojulikana kama “kumpelekea beseni”.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...