Sunday, June 10, 2012

EXTRA BONGO YAKAMUA KIWANJA CHA WACHINA



                                            Wanenguaji wa kike wakifanya kweli.

Mnenguaji Fetty Kibororoni, baada ya kujifungua miezi kadhaa iliyopita jana alianza kazi rasmi kama anavyooneka kwenye pozi leo alfajili.


Mkurugenzi wa Extra Bongo akicheza huku akitembea kwa mikono na magoti ikiwa ni moja ya manjonjo.

   Choki akiserebuka sambamba na wanenguaji wake Danger Boy (kushoto) na Super Nyamwela.

Bendi ya Extra Bongo ‘Wazee wa Kizigo’ usiku wa kuamkia leo imefanya makamuzi kwenye Bustani ya Wachina, Zhonghua Yuan, Mikocheni jijini Dar es Salaam.
PICHA : RICHARD BUKOS / GPL 

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...