Saturday, June 9, 2012

TASWIRA MBALIMBALI ZA AJALI YA NDEGE JIJINI LAGOS, NIGERIA



Pichani juu ni taswira mbalimbali za ajali ya ndege aina ya Boeing MD-83 inayomilikiwa na kampuni ya Dana Air, iliyoanguka jana katika eneo la kuchapisha karatasi na makazi ya watu jijini Lagos nchini Nigeria na baadae kulipuka. Ajali hiyo iliua abiria wote 153 waliokuwa ndani ya ndege hiyo na wengine waliokuwa eneo la ajali. (PICHA ZOTE KWA HISANI YA AP, REUTERS, EPA, )

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...