Tuesday, June 12, 2012

WAFANYABIASHARA NDOGONDOGO WAZIDI KUNYIMWA RAHA NA MGAMBO WA JIJI



Mgambo wa jiji wakiwa wamemkamata muuza machungwa mtaa wa Makunganya jijini Dar leo jioni. 

...Songa mbele kijana.
Mgambo wa jiji wamekuwa na tabia ya kuwasumbua wafanyabiashara ndogondogo jijini Dar  hali ambayo inasababisha watu hao kushindwa kutafuta riziki yao ya kila siku. Mwandishi wa habari hii alipozungumza na  baadhi ya wananchi walioshuhudia tukio hili, walionekana kusikitishwa na kitendo cha mgambo hawa kuwanyanyasa wafanyabiashara hao.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...