Saturday, June 9, 2012

UMESHAWAHI KUMUONA JOTI AKIWA ANATENGENEZWA KAMA MWANAMKE?


Mara nyingi huwa tunaona ubunifu wao au utundu wao kwenye Tv tu wakiwa kwenye show yao ya Orijino Komedi lakini ni mara chache kuona kinachotokea wakati wanajiandaa na show, hiyo video hapo chini inamuonyesha mchekeshaji Joti akiwa anavalishwa nguo za kike kabla ya kuanza kuigiza, safisha macho kidogo…

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...