Saturday, June 9, 2012

5000 WAMEKWENDA SEKONDARI HAWAJUI KUSOMA WALA KUANDIKA.



Baada ya uchunguzi kuonyesha kwamba zaidi ya wanafunzi elfu tanowaliomaliza elimu ya msingi nchini wamefaulu kujiunga na elimu ya sekondari lakini hawajui kusoma wala kuandika, Mkurugenzi wa Chadema Taifa John Lema amesema kuna haja ya serikali kuwachukulia hatua walimu na Maafisa elimu ambao shule zao na wilaya zimefaulisha wanafunzi ambao hawajui kusoma wala kuandika.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...