Saturday, June 9, 2012

MTUHUMIWA AZIMIKA KIZIMBANI



Mshitakiwa aliyezimika akirudishwa rumande baada ya kukosa dhamana akiwa amezinduka.

Akisubiri lango la mahabusu lifunguliwe aingizwe.

Mmoja wa washitakiwa akinyoosha mikono wakati akirudishwa mahabusu huku akidai haki itendeke.
Mtuhumiwa ambaye jina lake halikuweza kupatikaka mara moja leo mchana alizimia kizimbani mbele ya Hakimu wa Mahakama ya Jiji iliyopo Sokoine Drive jijini Dar es Salaam, Timothy Lyon wakati akisomewa shitaka la kupiga debe Ubungo Bus Terminal, jambo ambalo ni kinyume cha sheria.
(PICHA ; RICHARD BUKOS / GPL )

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...