Saturday, June 9, 2012

MZEE YUSUF AFANYIWA SAPRAIZ YA BETHIDEI YA MKEWE



Leyla Rashid akimlisha Mzee Yusuf keki.

…Akikata keki  kabla ya kuanza zoezi la kulishana.

Mzee Yusuf akisubiri kulishwa keki.

Khadija Yusuf (katikati), akilishwa keki na wifi yake.

Mmoja wa waimbaji wa bendi hiyo akilishwa keki kwa niaba ya waimbaji wote.

Mzee Yusu akiwapagawisha mashabiki zake.

Leyla  akimtunza mumewe wakati akiimba.

Khadija Yusuf akitumbuiza.

Mwanahawa Ally akikumbushia nyimbo zake za za enzi hizo.

Mkongwe wa miondoko ya mwambao Patricia Hilary akikumbushia enzi zake.

Mashabiki wakijimwaya.

Mambo yalikuwa full shangwe.

Mfalme wa mindoko ya Mwambao nchini Mzee Yusuf, juzikati alifanyiwa sapraiz na mkewe ambaye ni msanii mwenzake, Leyla Rashid, kwa kulishwa keki ambayo mkewe aliitayarisha kwa ajili ya kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwake (Leyla).
Tukio hilo lilifanyika usiku wa kuamkia leo ndani ya Ukumbi wa Taifa wa Burudani wa Dar Live, huko Mbagala, jijini Dar es Salaam ambapo bendi ya msanii huyo ilikuwa ikitumbuiza.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...