Saturday, June 9, 2012

KICHANGA CHATUPWA KWENYE DAMPO LA TAKATAKA MTAA WA SOWETO JIJINI MBEYA



Kichanga kikiwa kimetupwa katika Dampo la takataka mtaa wa Soweto jijini Mbeya.

Baadhi ya akina Mama na watu wengine waliofika eneo hilo kutazama kichanga hicho ambapo Mama Mzazi hajafahamika mpaka sasa. Hata hivyo Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...