Saturday, June 9, 2012

GARI JINGINE LA KIFAHARI LINALOMILIKIWA NA MWIMBAJI JOSE CHAMELEONE WA UGANDA.


.
Magari ya Jose Chameleone yakiwa parking nyumbani kwake, Uganda na Kenya ndio naona kibali kinatolewa kwa watu kutumia majina yao badala ya namba kwenye magari, kwa bongo bado naendelea kufatilia.
Mastaa wa Uganda ndio wanaongoza kwa kuishi maisha ya kifahari Afrika Mashariki kutokana na deals kibao zinazowalipa vizuri kama matangazo, showz na deals nyingine.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...