Saturday, June 9, 2012

VIDEO NA PICHA ZA WALIOTOLEWA BIG BROTHER, ALIEBAKI NI HUYU TU.


Wa kwanza kushoto ni Keitta wa Ghana aliefanikiwa kubaki kwenye jumba la BBA na kupandishwa Upville katika eviction jumapili june 3 2012, waliotoka ni wasichana watatu, Mildred wa Ghana girlfriend wa Keitta aliekataa kuja kwenye stage wakati wa show kutokana na hasira alizokua nazo.
Mildred wa Ghana aliegoma kuja kwenye stage wakati wa zoezi la kutolewa.
Edith wa Botswana ambae nae katolewa.
Keitta.
Eve mshiriki kutoka Botswana.
Eve wa Botswana akiagana na Keitta.
Eve wa Botswana ambae nae katolewa BBA.
.
Jinsi walivyopigiwa kura.
Kama ulimis kutazama show, chek hiyo video hapo chini…

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...