Monday, June 18, 2012

PICHA ZA BIG BROTHER JUNE 17 2012, AY, MWANA FA & ARTHUR NDANI!!


Mshiriki Junia kutoka Namibia ametoka downville na sasa kapandisha upville
Jesica wa Namibia ametolewa kwenye shindano hilo la Big Brother.
Lee wa South Africa katolewa wakati Keagan amepelekwa Upville.
Ay na Fa waliperform single inaitwa Money.
.
.
Picha zote zimepigwa kutoka kwenye TV.
Single waliyoperform AY & FA kwenye Big Brother unaweza kuisikiliza hapo chini….

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...