Sunday, September 18, 2011

Picha zaidi vya vifo vya Zanzibar


 Walionusurika wakiomba msaada wa kuokolewa..



 Askari wakibeba maiti za watoto..



 Mama akipita kutambua ndugu na jamaa katika maiti zilizokuwa hapo..

Ndugu wakilia kwa uchungu..

 Makaburi yakiwa tayari kwa ajili ya kuwazika..


Ndugu na jamaa washusha maiti ndani ya kaburi...

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...