Sunday, September 18, 2011

CHRISTINE WALTON, MWANAMKE MWENYE KUCHA NDEFU ZAIDI ZA MIKONONI DUNIANI!!!


MWANAMKE Christine Walton wa Las Vegas, Marekani, ndiye anashikilia rekodi ya kuwa na kucha ndefu zaidi za mikononi duniani kwa mujibu wa rekodi za vitabu vya Guinness.



Christine mwenye umri wa miaka 45, ambaye pia ana kipaji cha uimbaji, hajakata kucha zake za mikononi kwa muda wa miaka 21, tokea mwaka 1990.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...