Thursday, September 22, 2011

Comedy ZONE

Kulikuwa na mfalme ambaye alitaka kumuodha binti yake bac akaita wanaume wote wa kijiji hicho na kuwaambia kwamba"binti yangu anataka kuolewa na mtu anayetakiwa kumuoa inatakiwa ashinde mtihani nitakao toa na huo mtihani ni akiweza kuvuka hili bwawa hapa"hilo bwawa lilikuwa na mamba wengi,bac akaendelea "na akiweza nitampa nusu ya mali zangu na pia na mwanangu"alipo maliza ghafla mtu akawa amedumbukia mle kajitahidi mpaka kavuka bila kuliwa na mamba,ikawa hivi;mfalme-hongera sana kijana kwa kuweza nitakupatia mali zangu na pia na mwanangu, jamaa-sihitaji cha mali zako wala mtoto wako namuhitaji aliye nisukumia kwenye hili bwawa....

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...