Friday, September 23, 2011

Comedy ZONE

Mmasai mmoja alikuwa anasafiri kutoka Dar kwenda Arusha ndani ya basi... Kwa kuwa alikuwa hajawahi kaa siti ya mbele akawa anashangaa dereva anavyobadilisha gia. Walipofika Moshi wapumzike dereva aliwaambia abiria washuke kununua chakula na kwenda msalani. Yule mmasai alibaki ndani ya basi peke yake, dereva na abiria wengine waliporudi kuendelea na safari wakakuta gia imeng'olewa dereva akamuuliza Mmasai, "Vipi Kulikoni mbona gia haipo??"

Yule mmasai akajibu...

"Mimi iliona wewe napata tabu sana... Yani toka Dar mpaka hapa bado iko nahangaika nayo.. Kwa hiyo mimi maliza kazi kabisa kuing'oa ile fimbo, tena iko natupa kule mbali..."

*****************************************************

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...