Dingi: ''Vp mtihani wako wa leo wa hesabu?? Ulikuwaje mwanangu??''
Dogo: ''Siyo mgumu saaaaana, nina uhakika nitapata marks 5 ya 100....''
Dingi: ''Unasemaje?? Yani marks 5 tu mtihani mzima??''
Dogo: ''Yeeeeep, mwalimu alituambia atatupa marks 5 za bure za usafi, so nkaamua kurudisha karatasi saaaafi kama alivyonipa...''
No comments:
Post a Comment