Monday, September 19, 2011

JINI KABULA, CHOKI WALIVYOZIMIKIANA...


Msanii wa filamu za maigizo Bongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’, hivi karibuni alishindwa kuficha hisia zake na kuonyesha malavidavi yake kwa Prezdaa wa Bendi ya Extra Bongo ‘Wazee wa Kizigo’, Ally Choki, baada ya kumvamia stejini na kukumbatiana naye kwa mapozi ya kimahabat kama wanavyoonekana pichani. Wawili hao walinaswa na paparazi wangu ukumbi wa Mzalendo Pub jijini Dar es Salaam. 

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...