Thursday, September 22, 2011

Comedy ZONE

Kuna dogo fulani wa kike wa miaka 12 alienda home kwa masela kuomba maembe.. Jamaa wakamwamwambia apande juu ya mwembe akachume mwenyewe..

Yule dogo akarud hom kwa mama ake akawa anamwelezea mama yake ilivyokuwa...
Mama kwa hasira akamwambia... "Yani we mtoto mjinga sana... Wenzio walitaka wakuchungulie chupi yako ndiyo maana walikwambia upande juu uangue mwenyewe.."
Yule dogo akajibu.. "Aaah, mi mwenyewe nilijua tu ndo maana nilivua chupi kabla ya kupanda ili wasinchungulie chupi yangu..."

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...