Saturday, September 17, 2011

MATUKIO YALIYOJIRI WAKATI SOKO LA SIDO MWANJELWA LIKIUNGUA

 Soko la Mwanjelwa eneo la Sido Mbeya likiwaka moto leo asubuhi.

 Moto mkubwa ukiendelea kuwaka eneo la soko hilo.

 ...Baadhi ya  mabanda sokoni hapo yakiwa yameteketea.


 ...Kama kawaida kikosi cha zimamoto kimeendelea na maigizo yake ya kuja kwenye tukio na gari bovu, hapa wanaonekana askari wa kikosi hicho wakibishana huku moto ukiendelea. 


 ..Kufa kufaana kibaka tayari ameshaiba huyooo anatimka.

 ...Dada nae huyoooo! anatokomea na kapeti.

 ...Umati wa watu ukiwa unaangalia soko linavyoteketea.

 ...Mama huyu akilia kwa uchungu akiangalia duka lake likiteketea kwa moto.

 ...Vilio vilitanda.

...Hii ni hatari jamani.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...