Thursday, September 22, 2011

Comedy ZONE

Jamaa alimpa mimba binti wa kichaga.
Baba mtu alikasirika... Akapanga kumuua jamaa...

Jamaa akamtumia salamu mzee na kumwambia
''Kweli mie nimempa mimba binti yako na kusema ukweli sina mpango wa kumuoa... Lakini natoa ahadi moja...

Akizaa mvulana nitakupa million
25 za malezi na mtaji...

Akizaa msichana nitakupa million 50 na duka moja,
lakin mzee ikitokea bahati mbaya mtoto kufa itakuwaje??''

MZEE;''Aiseeee babaangu, itabidi umpe mimba ingine hakuna jinsi mwanangu..''

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...