Wednesday, April 18, 2012

WASANII WA KAOLE WAMTEMBELEA MAMA MZAZI WA KANUMBA...



Wasanii hao wakiwasili nyumbani kwa marehemu.

Wakimfariji mama mzazi wa marehemu Kanumba.

Wasanii hao wakiwa na nyuso za huzuni.

Wasanii wa kundi la Kaole leo wamemtembelea mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba, Bi. Flora Mtegoa nyumbani kwa marehemu Vatican, Sinza jijini Dar es Salaam. Kufika kwa wasanii hao kulisababisha mama huyo kuanza kuomboleza upya huku wasanii wengine wakishindwa kujizuia na kuangua kilio kama ndiyo kwanza msiba umetokea.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...