Monday, April 9, 2012

JACK WOLPER ALIVYOZIMIA MSIBANI




JACQULINE Wolper alipitia wakati mgumu baada ya kupokea taarifa za msiba wa staa mwenzake, Steven Kanumba ‘The Great’ hadi akafikia hatua ya kuzimia kwa dakika kadhaa pale nyumbani kwa marehemu maeneo ya Vatcan-City, Sinza jijini Dar.

Bongowood ilimshuhudia Wolper akifika nyumbani hapo akiwa amejikaza na kupokewa na waigizaji wenzake waliokuwa wameshafika ambapo alianza kuangua kilio kabla ya kudondoka na kuzimia kabla ya wasamaria wema kumpepea hadi akazinduka.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...