Monday, April 9, 2012

MAANDALIZI YA MAZISHI YA STEVE KANUMBA YAENDELEA VIWANJA VYA LEADERS



Wanakamati wa shughuli ya kuandaa mazishi ya marehemu Steven Kanumba wakijadiliana jambo katika Viwanja vya Leaders leo.

Maua yaliyoandaliwa na wanakamati hao.

Jukwaa la shughuli hiyo likiandaliwa.

Ujenzi wa jukwaa hilo ukiendelea.

Canter likisomba viti kwa ajili ya shughuli ya kesho.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...