Tuesday, April 24, 2012

DIAMOND PLATNUMS AAMUA KUMTANGAZA MPENZI WAKE MPYA, NDIO HUYU...


Hichi ndiocho alichokiandika DIAMOND kwenye BlackBerry Messenger ambapo kwa idhini yake mwenyewe nilimwambia nitaitumia.... Kulikua na stori kibao mtaani kwamba DIAMOND PLATNUMS yuko kwenye uhusiano wa kimapenzi na mrembo JOKATE lakini bado ilikua haijathibitika, sasa hivi ndio kaamua kuweka wazi.
Hii ilipatikana kwenye account zao za facebook siku kadhaa zilizopita na ilikua ni moja kati ya dalili kwamba wako pamoja.
.
Una chochote cha kusema kuhusu hii stori? kama ndio….. tupia comment yako, kama pia unapenda na washkaji zako waione bonyeza hiyo alama ya LIKE ya fB, pia unaweza kushare twitter..

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...