Sunday, April 22, 2012

HII NDIO KAULI YA WAZIRI PINDA KUHUSINA NA MAWAZIRI KUJIUZULU.


Baada ya  kuwepo kwa  taarifa za mawaziri nane kujiuzulu.leo baada ya spika wa bunge ANNA MAKINDA kuahirisha  kikao cha bunge mpaka siku ya jumatatu.
Waziri mkuu MIZENGO PINDA amesema”sijapokea barua yeyote kutoka kwa waziri yeyote kujiuzulu  kama wapo watatuletea ila kwa upade wangu  sijapokea barua yeyote.Pia kuhusiana na habari kuandwa kwenye magazeti sijafanikiwa kusoma na walasina uhakika na kilicho andikwa .
Ila kwa yeyote ambaye anatakakujua lolote  kuhusu taarifa hizi ntatolea ufafanuzi siku ya juma tatu”.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...