Tuesday, April 10, 2012

MAMIA WAZIMIA WAKATI WA MAZISHI YA STEVEN KANUMBA LEO...


Baadhi ya waombolezaji wakiuaga mwili wa Steve Kanumba.

Msanii Irene Uwoya akipatiwa huduma ya kwanza baada ya kuzimia.

Pichani juu ni baadhi ya waombolezaji waliopoteza fahamu wakati wa mazishi ya Steven Kanumba wengine wakipatiwa huduma ya kwanza.
Waombolezaji wanaokadiriwa kuwa zaidi ya mia moja wamepoteza fahamu wakati wa kuaga na kuuzika mwili wa Marehemu Steven Charles Kanumba leo katika Viwanja vya Leaders na Makaburi ya Kinondoni. Miongoni mwa watu hao ni msanii Irene Uwoya.

2 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...