Friday, April 27, 2012

AUNTY LULU; Mmmmmmh





MWANADADA asiyekaukiwa skendo kutoka katika kiwanda cha filamu Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ bado anazidi kuvuma kupitia tabia chafu na hivyo kuwa aibu yake!

Juzikati tena, picha chafu za Aunty Lulu zilinaswa na rafiki yake wa karibu ambapo zilitua katika dawati  na kueleza kuwa mdada huyo anayevimbiana kila kukicha, alizipiga kwenye ufukwe ambao mpaka sasa haujafahamika.

“Unajua Lulu ni rafiki yangu sana, hizi picha nimezinasa ndani kwake zikiwa shaghalabaghala, sijui anategemea nini kwani siyo desturi ya mwanamke wa Kiafrika jamani, hata kama ni picha za beach ni kwa nini asizihifadhi sehemu ya siri?” alihoji rafiki huyo.

Kwa upande wake, Aunty Lulu alipotafutwa kwenye simu hakupatikana mara moja lakini picha zake na upatikanaji wake anabeba tabia aliyonayo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...