Monday, April 9, 2012

RAIS KIKWETE AHANI KIFO CHA MCHEZA SINEMA STEVE KANUMBA



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili nyumbani kwa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es Salaam leo Aprili 8, 2012 kwa ajili ya kutoa mkono wa pole kwa wafiwa.

Rais Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo nyumbani kwa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es Salaam leo Aprili 8, 2012 kwa ajili ya kutoa mkono wa pole kwa wafiwa.

Rais Kikwete akiwafariji wafiwa  nyumbani kwa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es Salaam leo Aprili 8, 2012 alipofika kuomboleza nao kifo hicho.

Rais Kikwete akiongea na wanakamati ya msiba wa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es Salaam leo Aprili 8, 2012 alikofika kuomboleza nao kifo hicho.

Rais Kikwete akiaga waombolezaji  nyumbani kwa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es Salaam leo Aprili 8, 2012 alikofika kuomboleza nao kifo hicho.

Rais Kikwete akiongea na wanahabari  nyumbani kwa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es Salaam leo Aprili 8, 2012 alikofika kuomboleza nao kifo hicho.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...