Monday, April 9, 2012

TASWIRA MBALIMBALI KATIKA MSIBA WA STEVE KANUMBA JANA JIJINI DAR



Msanii Naseeb Abdul "Diamond" akisaini kitabu cha waombolezaji alipofika msibani, nyumbani kwa marehemu Steve Kanumba Vatican Sinza, jijini Dar jana.

Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja (mwenye suti nyeusi) akiwasili msibani hapo.

Msanii Bob Junior nae akitia saini katika kitabu cha waombolezaji.

Mbunge wa jimbo la Bumbuli, January Makamba (kulia) akiwasili msibani kutoa pole kwa ndugu na jamaa wa marehemu.

January Makamba akitia saini kitabu cha waombolezaji.

Kiongozi wa bendi ya Extra Bongo, Ali Choki (mbele) akiwa na Patcho Mwamba (nyuma kushoto mwenye miwali), wakiwasili msibani.

Irene Uwoya akisaini kitabu cha waombolezaji kwa simanzi.

Wasanii MwanaFA na Ambwene Yesaya nao walifika kutoa poole zao.

Waombolezaji wakiwa na nyuso za majonzi.

Diamond akifuta machozi alipofika msibani.

Irenu Uwoya akiwa na simanzi kubwa.

Jack wa Chuzi akiwa na majonzi msibani hapo.

Simanzi ilitawala mahali hapo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...