Friday, August 5, 2011

Warembo wafanya ufirauni hadharani...






Warembo wawili ambao majina yao hayakuweza kupatikana mara moja wakazi wa jijini Dar es Salaam,  hivi karibuni walinaswa wakifanya vitendo vya kifirauni hadharani bila kuhofia umati wa watu uliokuwa…


Tukio hilo la aibu lilinaswa na paparazi wetu ndani ya Ukumbi wa Hoteli ya Travertine uliopo Magomeni jijini Dar es Salaam ambapo kundi jipya la New Five Stars lilikuwa likizinduliwa.



Katika tukio hilo, warembo hao walioonekana kuwa bwii, walikuwa wakiserebuka kihasara huku mmoja (Pichani juu) akionekana kujigeuza dume na kumfanyia mwenzake mchezo mchafu.


Kama hiyo haitoshi, demu huyo‘ alifikia hatua ya ‘kumchojoa’ mwenzake kitendo kilichowafanya watu waliokuwa wakiwakodolea macho kupigwa na butwaa.


“Jamani dunia imekwisha, hawa akina dada wanafanya mambo gani haya mbele za watu? Hii yote pombe, ama kweli pombe si chai,” alisikika dada mmoja akimwambia rafiki yake.



No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...