Monday, August 1, 2011

MCHUMBA WA MTU AVUA NGUO HADHARANI!

Ni aibu iliyoje! Mrembo mmoja, mkazi wa Kigogo, Dar es Salaam, anayedaiwa kuwa ni mchumba wa mtu ambaye jina lake halikupatikana, amekatikiwa mshipa wa aibu na kuvua nguo katikati ya sherehe ya ‘bethidei’ ya mtoto.

Kwa mujibu wa chanzo makini cha The Udaku Master,  tukio hilo lililojaa laana lilijiri ndani ya Ukumbi wa Palm Tree Kigogo, Dar, Jully 31, mwaka huu ambapo kulikuwa na sherehe ya kuzaliwa mtoto aliyetajwa kwa jina moja la Junior aliyekuwa akitimiza miaka 5.
                                                

HABARI KAMILI 
Chanzo hicho kilieleza kwamba, mnyange huyo ambaye alikuwa mmoja wa wageni waalikwa, alitimba ukumbini hapo akiambatana na mwanamume aliyedaiwa ni mchumba’ake.
Kilidai kwamba, mara baada ya kujitwalia moja ya meza ukumbini hapo, wawili hao walianza kugida ulabu kwa staili ya ‘tuone nani mkali wa kumeza maji’.


Mchumba' akipata kilaji kwanza kupandisha mzukaPichani chini, mzuka ushapanda, anaingia kazini!

Chanzo hicho kilidadavua kwamba, haukupita muda mrefu, mwanamume aliyeambatana na mrembo alionekana akizungumza na simu ambapo alimwacha mwanadada huyo na kutoka nje.

Ilidaiwa kuwa, kitendo hicho kilimpa nafasi mrembo huyo ambaye alianza kufanya madudu mbele ya kadamnasi bila kujali idadi kubwa ya watoto waliokuwa ukumbini.



                                   ...watoto waalikwa wakisubiri kumpongeza mwenzao Junior


AANZA KUPANDISHA KIGAUNI
Chanzo chetu kilidai kuwa, inaelekea jamaa aliyekuwa na mrembo huyo alipata ‘imejensi’  hivyo hakurejea.
Ilisemekana kwamba, muda wa kutoa zawadi ulipowadia, mchumba huyo wa mtu alichafua hali ya hewa baada ya kuanza kupandisha kigauni kifupi alichokuwa ametinga na kuacha nusu ya mwili wake sehemu yote ya chini ikiwa wazi.

attention!.....mkuu pande, mkuu sawa!

AMALIZIA HADI ‘KUFULI’
Chanzo kiliweka wazi kwamba, mrembo huyo alimazia kuvua nguo nyingine hadi ‘kufuli’ na kubaki mtupu kama alivyozaliwa hivyo kuwafanya watoto kushuhudia sinema ya bure.

....haya hizo noti zenu wekani huko....

ATUNZA KWA MAKALIO
Iliendelea kudaiwa kuwa, mrembo huyo aliharibu kila kitu pale alipochomeka noti ya buku 10 kwenye nyeti zake na kwenda kumtunza mama wa mtoto.

...haya shosti nimekuja kukutunza, chukua noti zako huko

“Kama hiyo haitoshi, yule binti aliweka sharti kuwa hakuna kupeleka ‘hela’ kwa mama mtoto na badala yake watu wamuwekee kwenye makalio.

“Wapo waliokubali ‘then’ akaenda na kumlazimisha mama mtoto azichukue,” kilisema chanzo hicho.
...tena zichukue makalioni kwa mdomo shosti!!

Chanzo kiliendelea kuweka kweupe kwamba, mara baada ya kuona tukio hilo, baadhi ya wazazi waliokuwa na watoto wao ukumbini hapo walimaindi hivyo kuondoka kwa aibu.

...wazazi wa mama, wamebaki wanatizamana!

Kumekuwa na matukio mengi ya aibu yanayofanana na hili. Tunalaani kitendo hicho kwa nguvu zote na tunaamini kuwa hakuna haki za binadamu kwa watu ambao siyo binadamu. Kitendo kilichofanywa na mrembo huyo kinakiuka maadili ya Kitanzania kwani kimefanywa hadharani tena mbele ya watoto.

...mc aliandaliwa pia kuendesha shughuli hiyo

...Junior akiandaliwa kuingia ukumbini, bila kujua fedheha iliyoko mbele yake

..keki maalum kwa Junior ilikuwepo

.....baba na mama.....'wanampongeza' mtoto wao...!

.....mama zangu walibaki wakijiinamia

...mama anayetarajiwa kumlea Junior katika maadili


....lakini walikuwepo waliotunza kistaarabu (chini na juu)


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...