Monday, August 1, 2011

NI BALAA

MAKUNDI mawili  maarufu ya wanawake yanayoongoza kwa kukata nyonga jijini Dar es Salaam, Welawela na Khanga Moja, hivi karibuni yalioneshana kazi ndani ya Ukumbi wa Mzalendo Pub.

Mpambano huo uliwapagawisha wanaume wengi waliohudhuria onesho hilo ambalo pia lilisindikizwa na Bendi ya Extra Bongo
Katika kuoneshana ufundi, wanenguaji hao walivamia jukwaa na kukata mauno kwa mitindo ya kufuru huku wakijigalagaza sakafuni na kuonesha ‘sehemu zao muhimu’.

Aidha, wanenguaji hao walisababisha balaa ukumbini humo baada ya kumwaga vinywaji vya wateja waliokuwa wakifuatilia shoo ukumbini hapo kutokana na staili yao ya uchezaji.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...