Ze HOT POT

ze hot pot

  • Home
  • My Videos
  • MOVIES
  • Magazeti
  • About Me
  • Hot pot TV





Tuesday, August 2, 2011

WANAFUNZI WAFANYISHWA MTIHANI UWANJA WA MPIRA!

Mwalimu wa Shule ya Msingi ya Bungo ya mkoani Morogoro,akisimamia mtihani leo asubuhi.

...Wanafunzi wakiendelea na mtihani huo.

KATIKA hali isiyo ya kawaida, wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Bungo ya mkoani Morogoro, leo asubuhi walinaswa na mtandao huu wakiwa wametapakaa kwenye uwanja wa mpira wakifanya mtihani huku wakiwa chini ya uangalizi mkali wa mwalimu wao.

Alipohojiwa na mwanidshi wa mtando huu juu ya wanafunzi hao kufanya mtihani kwenye uwanja huo, mwalimu aliyejitambulisha kwa jina moja la Mazinda, alisema uongozi wa shule hiyo uliwapeleka wanafunzi hao kufanya mtihani huo uwanjani hapo kwa lengo la kuwapa nafasi ili wasiangaliane majibu.

"Tumeamua wafanye mtihani huu wa majaribio hapa kiwanjani kwa lengo la kuwapa uhuru zaidi  kwani pale darasani huwa wanabanana,  lakini sambamba na hilo, hali hii itasadia kwa wale wanafunzi wenye tabia ya kunakiri majibu kutoka kwa wenzao washindwe kufanya hivyo," alisema mwalimu huyo kwa kujiamini.

Hata hivyo, mwandishi wetu alishuhudia wanafunzi hao wakifanya mtihani huo kwa shida kubwa kwani walilazimika kuinama kwa muda wote wakiwa hapo.







ze Hot pot C.E.O Da Legendary Jason Muda 12:49 AM
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Find us on facebook...

Tafsiri BLOG HII...

Tafuta...

Waliotembelea Blog leo

HOT POT CLOCK

CLOUDS FM LIVE

CLOUDS FM LIVE

Ze HOT POT C.E.O

Ze HOT POT C.E.O
Dr. Nchimbi jr - 0788 089933

R.I.P Sharo Millionea

R.I.P Sharo Millionea

R.I.P Steven Kanumba

R.I.P Steven Kanumba

HOT POT KALENDA

TANGAZA NASI...

TANGAZA NASI...

HOT POT WORLD


Makamuzi yanaendelea

Makamuzi yanaendelea

Wazo la leo...

"Usibishane na chizi... Mwisho wa siku watu watashindwa jua yupi mzima..."

Ze HOT POT BUREAU

   Tanzanian Shilling Exchange Rate

Ze HOT POT map


widget

HOT POT CHAT ROOM


Chat for Websites

Blog zingine

  • Ze COMEDY ZONE
  • BONGO LOOK UP
  • Vick Kamata
  • Nchimbi Digital Studio
  • Ging...! Online MAGAZINE
  • Baragumu
  • Fikra Pevu
  • Vijimamboz
  • Bongo Celebrity
  • MZEE WA MATUKIO
  • JIACHIE
  • KATUNI
  • MTAA KWA MTAA
  • MICHUZI

Post zilizopita

  • ►  2013 (7)
    • ►  November (7)
  • ►  2012 (677)
    • ►  December (2)
    • ►  November (43)
    • ►  October (72)
    • ►  September (36)
    • ►  August (58)
    • ►  July (5)
    • ►  June (132)
    • ►  May (121)
    • ►  April (99)
    • ►  March (27)
    • ►  February (41)
    • ►  January (41)
  • ▼  2011 (272)
    • ►  December (36)
    • ►  November (33)
    • ►  October (68)
    • ►  September (71)
    • ▼  August (62)
      • MACHANGU WALIA NJAA
      • UWOYA AMLIPUA WEMA
      • JACK: MIMI NA ‘KUFULI’ MBALI MBALI
      • KUKU ATOA UHAI WA MTU
      • HATARI...
      • SHINDANO LA AIBU
      • MWANAMKE ABEBWA MTUPU KWENYE BAISKEL
      • MTOTO ALIYEISHI NA NYANI AFANYA MAAJABU
      • SIKU FACEBOOK IKIFUNGWA, BALAA LAKE HILI HAPA!
      • IRENE ANDERSEN MWANAMAMA MTUNISHA MISULI ANAYEOGOPEKA
      • ‘Twanga Pepeta’
      • Unamfumania mpenzi wako lakini hauko tayari kumkos...
      • Demu afanya kioja cha mwaka
      • Mambo ya Pekechapekecha na Akudo
      • MKE AMLIPUA MUMEWE SEHEMU ZA SIRI
      • Sababu 7 zinazokufanya ukose mpenzi mpaka leo!
      • Dead Sea: Bahari ambayo mtu hawezi kuzama
      • MASWALI 10 YA KUJIULIZA KWA WAPENZI
      • Ndauka na Shilole,mchina yupi amebambaa???
      • Mtanzania ajiingizia mamilioni kwa kukaa UTUPU...
      • Washiriki BSS waonesha utamu wa faragha
      • ASKOFU BONGO ANAISHI KAMA RAISI
      • Mume avaa nguo za kike kwenda kufumania
      • Chameleon alivyobadili dini kuwa Muislam
      • Lulu aahidi makubwa kwa mumewe
      • MBUNGE MUSSA KHAMIS SILIMA AFARIKI DUNIA
      • AY FT LAMYIA & ROMEO - SPEAK WITH YA BODY (Officia...
      • FUMANIZI: BABA, BINTIYE LAIVU...
      • BALAA...!!!!!
      • AJALI YAUA WATU WATANO MORO
      • GROWING UP AFRICAN - Reality Show (1st Season Now ...
      • WAPIGIE KURA WASANII WA BONGO FLEVA TUZO ZA MUSEKE...
      • KIBABU CHA LOLIONDO HATIMAYE KORTINI
      • BHOKE, ELNEST LIVE!!!
      • WEMA, DIAMOND NGOMA DROO..
      • MASIKINI VENGU
      • Steven Seagal | The Keeper]*** Full Movie
      • MSHIRIKI WA J.K ANYONGWA
      • Chupacabra: Anadaiwa kunyonya damu ya mifugo!!
      • MWASITI FT GODZILLA - SOLDIER [www.DarTalk.com]
      • MTOTO WA ASKOFU ATIKISA JIJI..
      • Slaughtered...
      • Khaaaaaaaa??!! Jamani LULU....
      • The Nun...
      • BOB JUNIOR: MIMI SIYO SHOGA, NI USANII...
      • Warembo wafanya ufirauni hadharani...
      • Alikiba - Dushelele (Official video)
      • Mr Blue - Tila lila (Official Video) www.teentz.com
      • Diamond - Moyo wangu (www.Teentz.com) (www.G5clic...
      • BABU LOLIONDO APINDULIWA NA MTOTO...
      • HAPPY BIRTHDAY RAIS BARACK OBAMA...
      • Rais amuita Uwoya Ikulu
      • LULU APEWA KIBANO...
      • Haina MAJOTROOOO....
      • Karen na Wendall waibuka kidedea BBA Amplified 2011
      • WANAFUNZI WAFANYISHWA MTIHANI UWANJA WA MPIRA!
      • Mambo ya SERENGERI FIESTA in DAR....
      • Da Legendary Jason
      • MCHUMBA WA MTU AVUA NGUO HADHARANI!
      • NI BALAA
      • AFANDE LIVE...
      • Tiba ya kikombe serikali yasema haitibu...
    • ►  July (1)
    • ►  June (1)

TOP ndani ya HOT POT

  • JE, KANUMBA ALIKUWA NI FREEMASON?!?
    MENGI yamesemwa na yanaendelea kusemwa kwamba, mpaka kifo chake, Marehemu Steven Charles Kanumba ‘The Great’ alikuwa mwanachama wa i...
  • WEMA ANASWA NA PICHA ZA UTUPU
    PICHA chafu zinazomwonesha Miss Tanzania mwaka 2006, mwenye vituko kila kukicha Wema Isaac Sepetu, ambaye yuko katika uchumba n...
  • MADENTI CHUO WAFANYA UCHAFU
    NI hatari! Baadhi ya madenti wa vyuo vikuu mbalimbali jijini Dar es Salaam, wameoza kwa matukio machafu ya ngono.... . WAN...
  • Mtanzania ajiingizia mamilioni kwa kukaa UTUPU...
    MODO maarufu wa Kitanzania, Ida Ljungqvist (pichani) mwenye maskani yake Los Angeles, California nchini Marekani, amekuwa gumzo kwa miaka...
  • AISHA MADINDA KULIPWA MILIONI 500!!!
    Kampuni ya Global Publishers Ltd, inayochapisha magazeti ya Uwazi, Championi, Ijumaa Wikienda, Risasi na Amani iko tayari kumlipa kiasi ch...
  • KANUMBA; MASHARTI MANNE ALIYOMWEKEA LULU ILI KULINDA PENZI LAO
                                         Steven Charles Kanumba.                                  Elizabeth Michael ‘Lulu’. BADO ta...
  • AFANDE LIVE...
    PICHA za utupu za afande wa kike aliyetambuliwa kwa jina la Mary kutoka Kituo cha Polisi wilayani Nyamagana, jijini Mwanza zimedakwa na Aman...
  • HUYU NDIYE SAID SALIM BAKHRESA!!!!
    Said Salim Awadh Bakhresa Said Salim Awadh Bakhresa  (born 1949 in  Zanzibar , is an extremely reclusive  Tanzanian  business tycoon....
  • BAIKOKO YAPAGAWISHA MASHABIKI, SINZA, DAR...
    Kinadada wakikatika, mmoja akiwa amekalia chupa. Mashabiki wakifanya kufuru kukonga nyoyo zao. KUNDI la ngoma ya Baikoko lenye ...
  • Bibi amla nyama mjukuu.... ANASWA AKIWA UCHI DAMU MDOMONI......
    MWANAMKE aliyejulikana kwa jina la Mary Mbaga (70), (pichani) mkazi wa Kinondoni shamba  jijini Dar es Salaam, amepata  kipigo kika...

Powered By Blogger

Ze HOT POT KALI ZAIDI

  • JE, KANUMBA ALIKUWA NI FREEMASON?!?
    MENGI yamesemwa na yanaendelea kusemwa kwamba, mpaka kifo chake, Marehemu Steven Charles Kanumba ‘The Great’ alikuwa mwanachama wa i...
  • WEMA ANASWA NA PICHA ZA UTUPU
    PICHA chafu zinazomwonesha Miss Tanzania mwaka 2006, mwenye vituko kila kukicha Wema Isaac Sepetu, ambaye yuko katika uchumba n...
  • MADENTI CHUO WAFANYA UCHAFU
    NI hatari! Baadhi ya madenti wa vyuo vikuu mbalimbali jijini Dar es Salaam, wameoza kwa matukio machafu ya ngono.... . WAN...
  • Mtanzania ajiingizia mamilioni kwa kukaa UTUPU...
    MODO maarufu wa Kitanzania, Ida Ljungqvist (pichani) mwenye maskani yake Los Angeles, California nchini Marekani, amekuwa gumzo kwa miaka...
  • AISHA MADINDA KULIPWA MILIONI 500!!!
    Kampuni ya Global Publishers Ltd, inayochapisha magazeti ya Uwazi, Championi, Ijumaa Wikienda, Risasi na Amani iko tayari kumlipa kiasi ch...

Ze HOT POT world CLOCK

How is my blog?

@ 2011 copy right protected. Picture Window theme. Theme images by fpm. Powered by Blogger.