Tuesday, August 2, 2011

Karen na Wendall waibuka kidedea BBA Amplified 2011


Washindi wa BBA Amplified 2011, Karen Igho (kushoto) na Wendall Parson.

Karen Igho baada ya kutangazwa mshindi.

Mwanadada Karen Igho kutoka nchini Nigeria na  Wendall Parson wa nchini Zimbabwe, jana waliibuka washindi wa shindano la BBA Amplified kwa mwaka huu na kujinyakulia dola za Kimarekani 200,000 kila mmoja....


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...