Wednesday, August 24, 2011

Lulu aahidi makubwa kwa mumewe



STAA wa filamu Bongo Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameibuka na kutoa ahadi kwa mwanaume atakayebahatika kumuoa, kuwa hataweza kumuacha kutokana na mambo atakayomfanyia.

Katika mahojiano na kona hii wikiendi iliyopita jijini Dar es Salaam, Lulu alisema mapishi atakayompikia mumewe itakuwa sababu kubwa ya kumfanya asifurukute ndani ya ndoa.

“Mimi ni mkali wa madikodiko, mwanaume atakayenioa atapata raha sana. Yaani atakula mpaka atasaza, mengine ni siri yangu, lakini kwenye mapishi atakimbia,” alisema Lulu akiachia tabasamu pana.

1 comment:

  1. little girl what I advice you to do now is studying, don't think that if you get fucken married you are going to succeed in this tough life man no body real loves you now but they just use you as a fucken SEX MACHINE !! by me frm znz.

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...