Thursday, August 25, 2011

Mambo ya Pekechapekecha na Akudo




Bendi ya muziki wa dansi ya Akudo Impact, iKifanya onyesho lake katika Ukumbi wa Mango Garden.
 Christian Bella akiimba huku mnenguaji wa bendi hiyo, Frida Joseph ‘Beckham’ akimnengulia.

                                  Mashabiki wa bendi hiyo wakicheza staili ya Pekecha pekecha.


Mnenguaji wa bendi hiyo Nane Esalaa akinengua  huku sehemu kubwa ya makalio yake ikiwa nje..

Akina dada hawa nao hawakuwa nyuma katika kulicheza Pekechapekecha.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...