Wednesday, October 5, 2011

Uwoya Nikivaa kimini nadatisha zaidi


MUIGIZAJI mwenye mvuto runingani, Irene Uwoya amefunguka kuwa anapenda kuvaa vazi la kimini kwani anapolitinga hutoka ‘chicha’ sana. Akizungumza juzikati kwa njia ya simu na Vuvuzela wa Ijumaa, Uwoya alisema kuwa haumizwi kabisa na maneno ya watu wanaombeza kwa kuvaa nguo fupi. “Siumizwi na maneno ya watu wanaonisema kwa kuvaa nguo fupi, ukweli ni kwamba ninapovaa nguo hizo hasa kimini huwa nadatisha na nahisi napendeza sana,” alisema Uwoya...

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...