Saturday, October 1, 2011

KITOTO KICHANGA KILICHOTUPWA JALALANI‏

 Ni mwili wa Kitoto kichanga ukiwa umetupwa kwenye pagara la moja ya nyumba iliyopo katika Mtaa wa Majengo,mjini Singida- Salanga jirani na ofisi za Halmashauri ya Manispaa ya Singida baada ya kutupwa na mwanamke asiyejulikana . 

Ni baadhi ya wananchi waliofika kwenye eneo la tukio wakiuangalia mwili wa kitoto kichanga kinachosadikiwa kuwa kimetupwa na mwanamke asiyejulikana,kichanga hicho kinakadiriwa kuwa na umri wa takribani miezi saba ...
 

1 comment:

  1. siyi ishu wala nn kama vp atafutwe huyo mama yake atupwe segerea milele

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...