Tuesday, October 25, 2011

MASKINI KANALI GADDAFI... DAKIKA ZA MWISHO ZA MATESO...


Kanali Gaddafi baada ya kukamatwa na kundi la waasi wa Libya huko mjini Sirte.



Haya ni mateso aliyoyapata aliyekuwa kiongozi wa Libya, Kanali Muammar Gaddafi baada ya kukamatwa na kundi la waasi wa nchi hiyo ambao walikuwa wakiungwa mkono na mataifa ya Jumuiya ya Kujihami ya Ulaya Magharibi (NATO) kabla ya mauti kumfika huko mjini Sirte Alhamisi wiki iliyopita.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...