Thursday, October 13, 2011

Comedy ZONE

Lusawo anatafta kazi muda mrefu bila mafanikio akaenda kigamboni zoo kuomba kazi akaambiwa kazi ipo nayo ni kuvaa MASK ya NYANI ili awe anawafurahisha watalii atalipwa laki2 poa Lusawo kakubali. Kweli kavaa mask km nyani hamna tofauti akafungiwa ndani ya cage km kw wazungu wakija anarukaruka anarushiwa ndizi anadaka kazi inasonga. Sku moja ametoka nje ya cage mara kamwona Simba anamfata kapatwa na woga akaanza kukimbia kinyaninyani simba kazid Kumfata akaanza kupiga mayowe akakimbia sasa na miguu miwili km m2 mara akaona mti akaukwea fasta simba akaja chni ya mti af mara anaongea km m2 pia. Simba: We Lusawo em shuka chni mi rafk yako Robby nipo kazn km ww. Duh!

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...