Saturday, October 1, 2011

Comedy ZONE

Siku moja tumbili alikuwa anataka kwenda kujiua huko porini, sasa alipofika porini alimuona simba amelala na akaona ni bora nikamchokoze simba ili aniuwe,
so tumbili alimnyemelea simba na kumdunga kidole on his ASS, simba alishtuka sana na akasema kwa ukali, ni nani huyo anachezea maisha ? tumbili akamjibu ni mimi, simba akamuuliza kuna yeyote aliyekuona ukinidunga, tumbili akajibu, la hakuna. Simba akamwambia sawa dunga chengine...

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...