Tuesday, October 25, 2011

BASI LA DELUXE LAWAKA MOTO...

Watu wakizima moto basi la Deluxe ambalo lilipinduka na kuwaka moto wakati linatoka Dodoma kwenda Dar es Salaam.  Ajali hiyo imetokea eneo la Misugusugu, Kibaha, Mkoani Pwani.  Mashuhuda wamesema asilimia kubwa ya abiria waliokuwa katika basi hilo wameteketea katika moto huo ambapo ni wachache walionusurika kwa kutoka nje ya basi hilo. 

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...