Wednesday, October 12, 2011

Comedy ZONE

Majambazi wameteka basi wamekomba kila kitu mpaka nguo. Jambazi mmoja akaanza kuamrisha kama ifuatavyo:
Jambazi: "Haya nani kabaki na nguo?!"
Shoga aliyekuwa amekaa na mshkaji akasiki akiropoka...
"Huyu hapa kabaki na nguo ya ndani!!!"
Jambazi: "Avue mwenyewe kabla sijampiga risasi kwenye makalio..."

Jamaa akavua kisha jambazi akaamrisha tena...
Jambazi: "Haya hivyo hivyo mlivyo kila mtu amgeukie mwenzie, mkumbatiane kisha mfanye mapenzi. Ni amri, haijalishi umekaa na nani..."

Basi watu kibao wakakomaa, walokaa na madem wakali ikawa sana tu. Kazi ikawa kwa yule jamaa aliyekuwa amekaa na shoga... Yule shoga bila kusita akatabasamu na kumwinamia jamaa huku akimwambia...
"Haya, anza wewe kufanya..!!!"

Basi yule shoga akaendelea kuinama huku akimwangalia jamaa kwa smile kubwa.... Daaah, jamaa si akawa hataki... Mara shoga akapiga kelele....
"KAKA JAMBADHI, KAKA JAMBADHI.... ETI HUYU HATAKI..."

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...