Saturday, October 1, 2011

Comedy ZONE

Sister duu alkuwa ndani ya daladala, tumbo likaanza kumsumbua coz ya gesi. Demu akaona bora ajambe kwa kufuata biti la mziki.... Dah, kweli kajamba kufuata biti freshy na tumbo lika2lia.

Alipokuwa akishuka akashangaa kuona wa2 wanamshangaa kichizi, sister duu kujicheki ndo akakumbuka kuwa ameva earphones so mziki alikuwa akisikia mwenyewe..!!!

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...